Training - Individual practice

Choose Excercise

KL182 : Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa + Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine + Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli + Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine + malizia kwa layup

  1. Dunda mpira kwanza kwa
    kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa
    nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili
  4. Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine
    hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.
  5. Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
    Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
  6. Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
    mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
  7. Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine
    hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.
  8. Piga hatua kuelekea kwenye goli
    ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
  9. underhand shot
    fingertips show towards the basket.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


  • Dunda mpira kwanza kwa

  • kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa

  • nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili

  • Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine

  • hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.

  • Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine

  • Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.

  • Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli

  • mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani

  • Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine

  • hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.

  • Piga hatua kuelekea kwenye goli

  • ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili

  • underhand shot

  • fingertips show towards the basket.


sauti: Google Translator