Training - Individual practice

Choose Excercise

KL180 : swing dribble + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  1. swing dribble
  2. Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
    Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
  3. Piga hatua kuelekea kwenye goli
    ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
  4. overhand shot
    one-handed shot, fingertips show away from the basket.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


BasKidball


  • swing dribble

  • Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine

  • Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.

  • Piga hatua kuelekea kwenye goli

  • ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili

  • overhand shot

  • one-handed shot, fingertips show away from the basket.


sauti: Google Translator