KL174 : Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli + turn further + one-handed + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Dunda mpira kwanza kwa
kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
“kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
one-handed
Lead the ball with only one hand to strengthen ball security.
Zunguka nyuzi 360
ukiwa na mpira wakati ukipiga hatua mbili kabla ya kuruka na kufunga.
one-handed
Lead the ball with only one hand to strengthen ball security.
overhand shot
one-handed shot, fingertips show away from the basket.
sauti: Google Translator