Training - Individual practice

Choose Excercise

KL160 : Get the ball passed with subsequent change in position + Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  1. Get the ball passed with subsequent change in position
    Catch the ball with one hand during a lateral movement and prepare throw before groundcontact.
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje
    Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje
  4. Piga hatua kuelekea kwenye goli
    ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
  5. Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
    malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


  • Get the ball passed with subsequent change in position

  • Catch the ball with one hand during a lateral movement and prepare throw before groundcontact.

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje

  • Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje

  • Piga hatua kuelekea kwenye goli

  • ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili

  • Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  • malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.


sauti: Google Translator