Training - Individual practice

Choose Excercise

KL153 : Delay + Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje + Delay + malizia kwa layup

  1. Dunda mpira kwanza kwa
    kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Delay
    Pause between moves in certain position to contrast with next move that is very fast.
  4. Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje
    Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje
  5. Delay
    Pause between moves in certain position to contrast with next move that is very fast.
  6. Piga hatua kuelekea kwenye goli
    ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
  7. malizia kwa layup
    mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


  • Dunda mpira kwanza kwa

  • kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Delay

  • Pause between moves in certain position to contrast with next move that is very fast.

  • Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje

  • Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje

  • Delay

  • Pause between moves in certain position to contrast with next move that is very fast.

  • Piga hatua kuelekea kwenye goli

  • ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili

  • malizia kwa layup

  • mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.


sauti: Google Translator