KL151 : Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine + One Leg Step Hop + malizia kwa layup
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Dunda mpira kwanza kwa
kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
“kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
Dunda mpira
na wakati huohuo mguu uguse sakafu (kwa pamoja) ukipiga hatua kufanya mlio mmoja wa sauti ( yaani mlio wa mpira ukidunda na mlio wa mguu ukitua juu ya sakafu.
Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine
hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.
One Leg Step Hop
Jump and land on the same leg.
step
push from behind
malizia kwa layup
mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.
sauti: Google Translator