Training - Individual practice

Choose Excercise

KL148 : Prebounce ball overhead + Dunda mpira kuelekea kwenye goli (kikapu) + malizia kwa layup

  1. Prebounce ball overhead
    Spin the ball to yourself so that you can catch it overhead and prepare a throw before you touch the ground.
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
    Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
  4. Piga hatua kuelekea kwenye goli
    ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
  5. malizia kwa layup
    mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


  • Prebounce ball overhead

  • Spin the ball to yourself so that you can catch it overhead and prepare a throw before you touch the ground.

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine

  • Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.

  • Piga hatua kuelekea kwenye goli

  • ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili

  • malizia kwa layup

  • mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.


sauti: Google Translator