Training - Individual practice

Choose Excercise

KL146 : Dunda mpira kuelekea kwenye goli (kikapu) + Kugusa shingo + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  1. Dunda mpira kwanza kwa
    kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Dunda mpira
    na wakati huohuo mguu uguse sakafu (kwa pamoja) ukipiga hatua kufanya mlio mmoja wa sauti ( yaani mlio wa mpira ukidunda na mlio wa mguu ukitua juu ya sakafu.
  4. Piga hatua kuelekea kwenye goli
    ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
  5. Kugusa shingo
    Gusa shingo kwa nyuma na mpira ulioshikwa kwa mikono yote miwili kupitia juu ya kichwa na kuurudisha tena mbele
  6. Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
    malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


  • Dunda mpira kwanza kwa

  • kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Dunda mpira

  • na wakati huohuo mguu uguse sakafu (kwa pamoja) ukipiga hatua kufanya mlio mmoja wa sauti ( yaani mlio wa mpira ukidunda na mlio wa mguu ukitua juu ya sakafu.

  • Piga hatua kuelekea kwenye goli

  • ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili

  • Kugusa shingo

  • Gusa shingo kwa nyuma na mpira ulioshikwa kwa mikono yote miwili kupitia juu ya kichwa na kuurudisha tena mbele

  • Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  • malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.


sauti: Google Translator