KL145 : Dunda mpira kuelekea kwenye goli (kikapu) + Zunguka nyuzi 360 + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Dunda mpira kwanza kwa
kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
“kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
Dunda mpira
na wakati huohuo mguu uguse sakafu (kwa pamoja) ukipiga hatua kufanya mlio mmoja wa sauti ( yaani mlio wa mpira ukidunda na mlio wa mguu ukitua juu ya sakafu.
Zunguka nyuzi 360
ukiwa na mpira wakati ukipiga hatua mbili kabla ya kuruka na kufunga.
Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.
sauti: Google Translator