Training - Individual practice

Choose Excercise

KL140 : Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  1. Dunda mpira kwanza kwa
    kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa
    nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili
  4. Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
    Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
  5. Piga hatua kuelekea kwenye goli
    ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
  6. Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
    malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


BasKidball


  • Dunda mpira kwanza kwa

  • kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa

  • nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili

  • Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine

  • Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.

  • Piga hatua kuelekea kwenye goli

  • ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili

  • Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  • malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.


sauti: Google Translator