KL130 : Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine + Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa + Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje + Kama mtindo wa MJ + MJ-Move through the legs + Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Dunda mpira kwanza kwa
kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
“kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine
hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.
Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa
nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili
Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje
Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje
Kama mtindo wa MJ
Simama ghafla wakati ukipiga hatua, dunda mpira mbele yako chini sana kurudi upande wa mguu uliobaki nyuma
MJ-Move through the legs
Abrupt change of direction, dribble the ball through the legs to the other hand deep down.
Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.
sauti: Google Translator