KL127 : Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa + Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli + Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine + malizia kwa layup
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Dunda mpira kwanza kwa
kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
“kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa
nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili
Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine
hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.
Piga hatua kuelekea kwenye goli
ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
malizia kwa layup
mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.
sauti: Google Translator