Training - Individual practice

Choose Excercise

KL110 : Kama mtindo wa MJ + Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli + Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine + Kugusa shingo + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  1. Dunda mpira kwanza kwa
    kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
    Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
  4. Kama mtindo wa MJ
    Simama ghafla wakati ukipiga hatua, dunda mpira mbele yako chini sana kurudi upande wa mguu uliobaki nyuma
  5. Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
    mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
  6. Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine
    hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.
  7. Piga hatua kuelekea kwenye goli
    ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
  8. Kugusa shingo
    Gusa shingo kwa nyuma na mpira ulioshikwa kwa mikono yote miwili kupitia juu ya kichwa na kuurudisha tena mbele
  9. Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
    malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


  • Dunda mpira kwanza kwa

  • kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine

  • Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.

  • Kama mtindo wa MJ

  • Simama ghafla wakati ukipiga hatua, dunda mpira mbele yako chini sana kurudi upande wa mguu uliobaki nyuma

  • Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli

  • mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani

  • Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine

  • hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.

  • Piga hatua kuelekea kwenye goli

  • ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili

  • Kugusa shingo

  • Gusa shingo kwa nyuma na mpira ulioshikwa kwa mikono yote miwili kupitia juu ya kichwa na kuurudisha tena mbele

  • Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  • malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.


sauti: Google Translator