Training - Individual practice

Choose Excercise

GM104 : Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli right

  1. Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
    Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
  2. Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
    mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
  3. Piga hatua kubwa
    Piga hatua kubwa ukijisukuma kwenda mbele kutumia mguu ulio baki chini

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


  • Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine

  • Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.

  • Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli

  • mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani

  • Piga hatua kubwa

  • Piga hatua kubwa ukijisukuma kwenda mbele kutumia mguu ulio baki chini


sauti: Google Translator