GM103 : Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli left
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
Piga hatua kubwa
Piga hatua kubwa ukijisukuma kwenda mbele kutumia mguu ulio baki chini
sauti: Google Translator