Training - Individual practice

Choose Excercise

GM101 : Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje left

  1. Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje
    Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje
  2. Kudunda kunakoendana na kupiga hatua kwa wakati mmoja
    Hakikisha kunakuwa na sauti moja na vitendo kufanyika kwa pamoja yaani kudunda na kupiga hatua wakati huo pia mkono usiokua na mpira unalinda mpira

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


  • Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje

  • Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje

  • Kudunda kunakoendana na kupiga hatua kwa wakati mmoja

  • Hakikisha kunakuwa na sauti moja na vitendo kufanyika kwa pamoja yaani kudunda na kupiga hatua wakati huo pia mkono usiokua na mpira unalinda mpira


sauti: Google Translator