GB148 : Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine clockwise
Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.