Training - Individual practice

WU134 : Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine + Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa + Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje + Kama mtindo wa MJ + MJ-Move through the legs + rabbit hop + jump shot

  1. Dunda mpira kwanza kwa
    kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine
    hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.
  4. Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa
    nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili
  5. Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje
    Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje
  6. Kama mtindo wa MJ
    Simama ghafla wakati ukipiga hatua, dunda mpira mbele yako chini sana kurudi upande wa mguu uliobaki nyuma
  7. MJ-Move through the legs
    Abrupt change of direction, dribble the ball through the legs to the other hand deep down.
  8. rabbit hop
    jump into the Two foot jump stop, land on the heels
  9. jump shot
    Release the ball at the highest point. shooting arm is moving in the plane of the ball trajectory towards the basket, two fingers touch the ball at the release point.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


BasKidball


BasKidball


BasKidball


  • Dunda mpira kwanza kwa

  • kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine

  • hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.

  • Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa

  • nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili

  • Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje

  • Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje

  • Kama mtindo wa MJ

  • Simama ghafla wakati ukipiga hatua, dunda mpira mbele yako chini sana kurudi upande wa mguu uliobaki nyuma

  • MJ-Move through the legs

  • Abrupt change of direction, dribble the ball through the legs to the other hand deep down.

  • rabbit hop

  • jump into the Two foot jump stop, land on the heels

  • jump shot

  • Release the ball at the highest point. shooting arm is moving in the plane of the ball trajectory towards the basket, two fingers touch the ball at the release point.


sauti: Google Translator